

Kutoka nchini Marekani,Rapa Tekashi6ix9ine atalazimika kuuza mali zake za thamani ili kulipa faini ya dola 9.8 milioni, ambazo ni zaidi ya tsh 24 bilioni, kufuatia uamuzi wa jaji wa Florida katika kesi ya kumpiga kichwani na chupa Alexis Salaberrios katika klabu ya ‘strip’ mwaka 2021.
Jaji Robert T. Watson amethibitisha uamuzi huo kwa rapa huyo baada ya kushindwa kufika Mahakamani kupinga uamuzi huo mwezi Julai mwaka huu.
Mali zinazotakiwa kuuzwa ni pamoja na gari aina ya Rolls-Royce, jumba lake la kifahari la Florida na vitu vingine vya bei ghali ambavyo vinaweza kuuzwa kwa mnada ili kulipa fidia ya dola milioni 9.825.
JWTZ YATANGAZA Nafasi Kwa Vijana wa Kitanzania.
WANANCHI LUHITA WALIA NA MAGUGU ZIWA BURIGI.
Wananchi wa mialo na ziwa waiomba serikali kuboresha miundombinu
RAIS SAMIA Ameziagiza Wizara ya Fedha,Kilimo Kukaa pamoja na BOT Kuja na Sera ya Taifa.
BODI YA TASAC:SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA BANDARI ZOTE NCHINI.
JWTZ YATANGAZA Nafasi Kwa Vijana wa Kitanzania.
Wizara ya Afya Imesisitiza Umuhimu wa Elimu ya Afya ya Uzazi Kwa Watoto na Vijana.
Kiwango Cha Maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria Kimepungua Kwa takribani asilimia 45
BODI YA WAKURUGENZI TASAC YARIDHISHWA NA MABORESHO YA BANDARI ZA KEMONDO NA BUKOBA.
SINGIDA KASKAZINI WAIAMBIA TUME JIMBO LIITWE ILONGERO.