Snoop Dogg kudai kuacha kuvuta sigara ilikua kiki | The Dodoma Post
The Dodoma Post Burudani

Snoop Dogg kudai kuacha kuvuta sigara ilikua kiki

Ni siku tano tuu zipite tangu ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Snoop Dogg kutangaza kuacha kuvuta sigara, hatimaye imegundulika kuwa ilikuwa ni kiki ya tangazo la kampuni ya majiko.

Gilbert ludovick
By Gilbert ludovick
21 Nov 2023
Snoop Dogg kudai kuacha kuvuta sigara ilikua kiki

Snoop kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share video akiwa anatangaza jiko hilo la ‘Solo stove’ huku akidai kuwa hajaacha kuvuta sigara bali ameacha kutumia majiko yanayotoa moshi.
‘Solo stove’ ni aina ya majiko ambayo yanatoa moto bila ya kutoa moshi.
SnopDogg anatamba na ngoma zake kama vile ‘Doggyland’, ‘Drop It Like It's Hot’, ‘Lay Low’ na nyinginezo.

MARCO WA ZABRON SINGERS AFARIKI DUNIA KWA UGONJWA WA MOYO

MARCO WA ZABRON SINGERS AFARIKI DUNIA KWA UGONJWA WA MOYO

ROSA REE AIWAKILISHA TANZANIA TUZO ZA GRAMMY

ROSA REE AIWAKILISHA TANZANIA TUZO ZA GRAMMY

Mali za Tekashi kupigwa mnada kulipa fiadia mahakamani

Mali za Tekashi kupigwa mnada kulipa fiadia mahakamani

Baada ya kulipwa mil.81 Eric Omondi afichua sura ya mwanae

Baada ya kulipwa mil.81 Eric Omondi afichua sura ya mwanae

ASAP Rocky Asema Kolabo Yake Bora Na Rihanna Ni Watoto Wao

ASAP Rocky Asema Kolabo Yake Bora Na Rihanna Ni Watoto Wao