Baada ya siku chache kupita tangu mchekeshaji kutoka nchini Kenya, EricOmondi kulipwa zaidi ya Tsh 81 milioni kufichua sura ya mtoto wake wa kike (Kyla), hatimaye ameonesha sura ya mtoto huyo.
Eric alisema kuwa hatokuja kuonesha sura ya mwanaye hadi mtu alipe ksh 50 milioni, ambapo atakayelipa pesa hiyo ndiye atakuwa mtu wa kwanza kumuona mtoto na atapata nafasi ya kuitumia picha ya sura ya kichanga huyo katika biashara zake kama vile majarida ya watoto au maduka makubwa ya nguo za watoto.
Kauli hiyo imetimia ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-post video ya mtoto wake ikionesha kuwa Kyla ni brand ambassador katika duka la bidhaa za watoto lililopo nchini Kenya.
Watumishi wa Umma Waaswa kuwa na nidhamu kazini na Kuacha Kutumia Madaraka Vibaya.

HARUSI YA KIHISTORIA YAFUNGWA KRETA YA NGORONGORO
DAR CITY YAING’ARISHA TANZANIA MASHINDANO YA KIKAPU AFRIKA MASHARIKI
Balozi Thobias awapongeza waandishi wa habari kwa ushirikiano katika tukio la kariakoo.