

Msanii wa Bongo Fleva, Ibraah, amefichua kuwa hakujiondoa kwa hiari kutoka lebo ya Konde Gang, bali alifukuzwa na bosi wa lebo hiyo, Harmonize. Katika mahojiano ya hivi karibuni, Ibraah alieleza kuwa alijaribu kuwasiliana na uongozi wa lebo hiyo lakini hakupata msaada wowote. Aidha, alidai kuwa Harmonize anamtaka alipe kiasi cha shilingi bilioni moja ili kuvunja mkataba wake na lebo hiyo
Hii si mara ya kwanza kwa msanii kutoka Konde Gang kudai kufukuzwa. Killy, msanii mwingine wa zamani wa lebo hiyo, pia alidai kufukuzwa, na Harmonize alijibu madai hayo kwa kusema kuwa aliwapa kila kitu wasanii wake.
Kwa sasa, Ibraah anaendelea na kazi yake ya muziki kama msanii huru, na ametoa nyimbo mpya kama "Copy & Paste" na "Tano".
NFMC kushirikiana na Nesch Mintech kuanzisha maabara ya kisasa Saudi Arabia
Dkt.Tulia Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi wa Shule ya Wavulana Bunge.
Waziri Mhagama ametoa Agizo Vituo Vyote Vinavyotoa Huduma za Afya Viweke Wazi Mikataba Kwa Wateja.
Wenye malori watakiwa kuweka vifaa vya usalama
Mavunde Akabidhi Jengo la kupumzikia Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Dodoma
PPAA yatoa elimu matumizi ya Moduli Wiki ya Utumishi wa Umma
LUKUVI AWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA HALI YA DAWA ZA KULEVYA
Waziri Mkuu Azindua Mfumo wa Kubadilishana Taarifa Serikalini GovESB.
ACT YAITAKA SERIKALI KUONDOA TOZO ZINAZOZUIA BIASHARA KUKUA .
UDSM YASAINI MAKUBALIANO NA KAMPUNI ZA CHINA KUTOA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WA CHUO HICHO.