

Rapa maarufu Kutokea nchini marekani na mdau wa mitindo ASAP Rocky hakuacha kutabasamu alipokuwa akijibu swali la uwezekano wa ushirikiano wa nyimbo na mpenzi wake Rihanna. Alikuwa na jibu la kufurahisha alipoulizwa jinsi kolabo yao itakavyokua kati ya wawili hao.
Rapa huyo na "Fashion Killa" alisema, "Ikiwa mimi na mwanamke wangu tungeshirikiana, tungeshirikiana tu kwenye vitu vinavyotupa furaha kwa sasa ambavyo ni kutengeneza Watoto. Nadhani tunafanya kazi nzuri sana katika kushirikiana na kutengeneza watoto. Baada ya kicheko na tabasamu kubwa, alisema kwa shauku,
"Nadhani hiyo ndiyo kazi yetu bora zaidi kwa sasa. Hakuna kitu bora kuliko hicho, na sidhani kama kuna muundo mwingine bora zaidi. Namaanisha, tulikuwa na mbunifu wa tatu aliyeingia na kusaidia, mbunifu wa roho anayeitwa Mungu, unajua? Aliingia na kuunda kila kitu, na sasa tuna malaika hawa wazuri. Kwa hivyo, huo ndio ushirikiano bora zaidi."
BODI YA MKONGE TANZANIA YATANGAZA FURSA KWA WATANZANIA.
SHERIA ZILIZOTAFSIRIWA KWA LUGHA YA KISWAHILI KUTOKA MWEZI AGOSTI.
DCEA:SERIKALI IMEPUNGUZA KASI YA WALAIBU WA DAWA ZA KULEVYA.
ULINZI NA USALAMA BAHARINI UMEIMARIKA;TASAC
VITONGOJI VYOTE 64,359 VITAKUWA NA UMEME IFIKAPO 2030
Maiko Salali achukua fomu ya ubunge Jimbo la Mpwapwa
SERIKALI IMEPUNGUZA TOZO KATIKA ZAO LA KAHAWA KUTOKA 17 HADI 5.
Mkoa wa Katavi umeendelea kutekeleza Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi (MMAM)
UDOM KUJA NA TEKNOLOJIA MPYA YA KUUZA VIMIMINIKA.
AMANZI NA BABU TALE USO KWA USO JIMBONI