"Moja kati ya video kubwa nimewahi kufanya mwaka huu, bwana Jux uwekezaji ameufanya"
Alisikika msanii Diamond Platnumz akielezea namna video ya wimbo wa Ololufe Mi aliyoshirikishwa na Jux ilivyoghalimu pesa nyingi, Diamond aliyasema hayo wakati wapo location wakiendelea na production ya video hiyo
Pia Diamond ametumia video hiyo kuwapongeza waigizaji wa movie kutokana na ugumu wanaopitia kwenye uzalishaji wa film zao hiyo ni baada ya kupata uzoefu wa baadhi ya acting zilizopatikana kwenye video hiyo
"Kiukweli niwapongeze wacheza filamu kazi yao ni ngumu sana"
NECTA:WALIOFELI KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE KURUDIA DARASA.
WAZIRI ULEGA KUWAPIMA MAMENEJA KWA UWEZO WA KUTATUA CHANGAMOTO WAKATI WA DHARURA
WAZIRI KOMBO AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAHAKAMA YA WILAYA YA MAGHARIBI B
SERIKALI KUPITIA NEMC IMETAHADHARISHA ATHARI ZA MAZINGIRA
RAIS SAMIA AIPA SIFA TANZANIA KIMATAIFA KWA UHAMASISHAJI MATUMIZI YA NISHATI YA GESI
Usaili wa walimu watangazwa tena baada ya kusitishwa
Shangwe JANUARI 2025: Bei za Mafuta Zaendelea Kushuka
Vita vya Ukraine na Urussi vyasitisha usafirishaji wa gesi asilia Kwenda Ulaya
UBORESHAJI DAFTARI LA MPIGA KURA KWA RUVUMA, NJOMBE, SONGWE JANUARI 12-18
SERIKALI YA RAIS SAMIA YAAGIZA TAASISI ZOTE KUACHA KUTUMIA NISHATI YA MKAA NA KUNI