

Msanii wa Hip-Hop nchini #RosaRee ametajwa kwenye orodha ya #Grammy ambayo imewaangazia wasanii wakike10 wa Afro Hip Hop ambao wanapaswa kutiliwa maanani kutokana na ubora wao katika muziki huo.
Hatua hii huwenda ikawa njia kwa mwanamuziki huyo kuingia kwenye Tuzo za #Grammy ambazo ndiyo Tuzo kubwa Duniani.
Wasanii wengine wa kike kutoka Afrika ambao wametajwa kwenye ‘listi’ hiyo ni #ShoMadjozi kutoka Afrika Kusini #FemiOne kutoka nchini Kenya na wengineo.
DKT. BITEKO AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA CLIMATE INVESTMENT FUNDS
KAMATI ya Bunge ya miundombinu yaridhishwa na kasi ujenzi daraja la pangani
MIKOA 16 kunufaika na Nishati ya Jotoardhi
MASAA YA Upatikanaji wa Huduma ya Maji Yameongezeka Kutoka saa 16 hadi saa 22
MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imefanikiwa kutoa mafunzo kwa wadau wa kemikali
Hatua Kali Za Kisheria Kuchukuliwa Kwa Watakaoghushi Cheti Cha Kuhitimu Mafunzo ya JKT.
Vituo 94 vimepewa mikopo na NHIF kwa ajili ya kuboresha huduma wanazotoa kwa wananchi.
RAIS SAMIA Aagiza Mamlaka Za Serikali za Mitaa Kujiepusha Kuwa Vyanzo vya Migogoro ya Ardhi Nchini.
NCAA IMEFANIKIWA Kudhibiti Ujangili wa Wanyamapori Ndani na Nje ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Mavunde Agawa Kompyuta na Printa kwa shule zote za Sekondari za Jiji la Dodoma.