Hatimaye michuano ya East Africa Basketball Champions Cup 2024 Zone five ambayo ilikuwa ikifanyika Nairobi Kenya imekamilika na kupelekea kupelekea timu ya kikapu kutokea Tanzania ya Dar City kufuzu kucheza ligi ya kanda za Africa kwa kucheza na zones (Kanda) nyingine baada ya kuibuka washindi wa Pili wa michuano hiyo kwa kushinda Game nne kati ya tano huku timu kutoka Burundi ikishika nafasi ya kwanza na kenya nafasi ya tatu..
Katika Mashindano hayo yaliyomalizika leo hii katika Uwanja Nyayo Stadium Nairobi, Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na timu mbili ambapo moja ni ABC na nyingine ni Dar City kutoka Mataifa kama Burundi na Kenya zikiwakilishwa na KPA, Eauity na Hippos…
Watumishi wa Umma Waaswa kuwa na nidhamu kazini na Kuacha Kutumia Madaraka Vibaya.
Watumishi wa Umma Waaswa kuwa na nidhamu kazini na Kuacha Kutumia Madaraka Vibaya.
HARUSI YA KIHISTORIA YAFUNGWA KRETA YA NGORONGORO
Balozi Thobias awapongeza waandishi wa habari kwa ushirikiano katika tukio la kariakoo.
Watumishi wa Umma Waaswa kujifunza mifumo mipya ya Tehama ili kuwafikia wananchi kwa ukaribu.