Gwiji wa mpira wa Kikapu wa Marekani, LeBron James anatarajiwa kuwa mchezaji wa kwanza kucheza ‘timu’ moja na mwanawe wa kwanza, #BronnyJames.
Mpango huo umewezekana baada ya ‘timu’ ya Los Angeles Lakers kumsajili #Bronny mwenye umri wa miaka 19, akitokea katika ngazi ya michuano ya vyuo nchinu humo.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa, ilikuwa kiu kubwa kwa #LeBronJames kucheza timu moja na mwanawe, baada ya kusubiri hilo kwa miaka 21 iliyopita.
KOREA KASKAZINI YAWANASA ‘SNIPER’ UKRAINE, YADAI RUSSIA INAWAUA MAJERUHI
MAREKANI HALI TETE, MOTO WAUA 16 LOS ANGELES, UPEPO WATARAJIWA KUONGEZEKA
Ajali ya gari yajeruhi mamia ya watu Ufaransa
Maria Sarungi atekwa Kenya wasiojulikana watajwa
BENKI KUU YAWAGEUKIA WATENGENEZAJI, WAUZAJI ‘PUTTY’