WANANCHI WAKARIBISHWA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NANENANE DODIMA. | The Dodoma Post
The Dodoma Post Biashara

WANANCHI WAKARIBISHWA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NANENANE DODIMA.

Wizara ya Nishati imeendelea kukaribisha wananchi kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (NANENANE) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.

Mwandishi Wetu
By Mwandishi Wetu
04 Aug 2025
WANANCHI  WAKARIBISHWA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NANENANE DODIMA.

*Kufahamu fursa na miradi inayoendelea kutekelezwa*

Wizara ya Nishati imeendelea kukaribisha wananchi kutembelea Banda la Wizara ya Nishati  katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (NANENANE) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.

Fredrick Marwa, Mjiolojia kutoka Wizara ya Nishati amesema katika maonesho hayo Wizara inaeleza kuhusu  kazi mbalimbal zinaoendelea kufanyika ikiwemo za  utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Bonde la Eyasi Wembere.

Marwa amesema wananchi watakapofika katika Banda la Wizara ya Nishati pia watajionea mafanikio mbalimbali yaliyofikiwa na Wizara  pamoja na Taasisi zake ikiwemo TANESCO, EWURA, REA na TPDC.

SENYAMULE AIPONGEZA DIB UTOAJI WA ELIMU KWENYE MAONESHO NANENANE.

Uzalishaji Wa Madini Umeongezeka kutoka Tani 18.21 Hadi Tani 27.43

Simiyu Yajivunia Ongezeko La Mapato TRA kutoka Bilioni 9.55 Hadi Bilioni 25.46

Mkoa Wa Mara Umezalisha Dhahabu Yenye Uzito Wa Tani 58.90 Sawa na Trillioni 6.90

UFUGAJI WA SAMAKI KWA KUTUMIA NJIA YA KISASA UMEONGEZEKA.