UPOTEVU Wa Maji Kwa Mwaka 2021 Ulikuwa Wastani wa Asilimia 64. | The Dodoma Post
The Dodoma Post Tanzania

UPOTEVU Wa Maji Kwa Mwaka 2021 Ulikuwa Wastani wa Asilimia 64.

Upotevu wa maji kwa mwaka 2021 ulikuwa wastani wa asilimia 64 kutokana na kubadili bomba chakavu na mita goigoi ambapo upotevu wa maji kwa sasa ni bomba chakavu uliojengwa kuanzia mwaka 1972, baada ya jitihada kubwa za Serikali ya awamu ya sita asilimia 32 na unaendelea kushuka kutokana na jitihada zinazoendelea kufanyika.

Moreen Rojas, Dodoma
By Moreen Rojas, Dodoma
06 Mar 2025
UPOTEVU Wa Maji Kwa Mwaka 2021 Ulikuwa Wastani wa Asilimia 64.

Hayo yameelezwa na Esther Gilyoma Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya majisafi na usafi wa Mazingira Bunda wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu taarifa ya hali ya upatikanaji wa huduma ya maji na 
utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa kusambaza maji mji 
wa Bunda kwa kipindi cha miaka minne (4) ya Serikali ya awamu ya Sita.

Aidha amesema kuwa katika eneo la kiutendaji Mamlaka ina jumla ya kata kumi na nne (14) ambapo kata kumi (12) 
,vyanzo vya asili na kuna miradi ya maji kata ya Wariku na Mcharo 
barimuna Bunda Stoo Kata mbili (2) zinapata huduma ya maji kupitia visima virefu ili
kuhakikisha wananchi wa maeneo hayo wanapata majisafi na salama.


Aidha kwa sasa inakadiriwa kuwa eneo linalohudumiwa na Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira
zina huduma ya maji ya bomba kutoka ziwa Victoria, ambazo ni Bunda 
Mjini,Sazira,Nyatwari,Kunzugu,Guta,Kabasa,Balili,Nyamakokoto,Nyasura,Manyamanyama,Katika Mji wa Bundaunawakazi 195,848 (2024)kati ya hao asilimia 85%ambayo ni sawa na wakazi 
165,613 ndio wanapata huduma ya maji ya bomba hivi sasa.

Aidha Chanzo cha maji cha Nyabehu kipo umbali wa kilomita 24.8kutoka mjini Bunda katika kijiji cha 
kutokana na mahitaji na upanuzi wa mtando wa bomba unaondelea kufanyika katika maeneo ya 
Nyabehu. Chanzo hiki kinachukua maji kutoka ziwa Victoria

"Mwaka 2021 maji yaliyokuwa 
yanazalisha ilikuwa wastani wa meta za ujazo 2,976 m3
ni wastani wa Metaza ujazo 5,160m3/sikuuwezo wa uzalishaji unaweza kufikia 14,784m3
/siku na kwa sasa Majiyanayozalishwa 
Wariku na Kisangwa
/siku kutokana na usanifu uliofanyikana uzalishaji huu wa maji unaendelea kuongezeka siku kwa siku"

Aidha Kwa sasa Mamlaka ya maji kupitia kitengo cha huduma kwa wateja kina huduma kwa wateja (call 
cetre) ambapo malalamiko ya wateja uchukuliwa na kufanyiwa kazi ndani ya masaa 24,piaelimu 
mikutano mbali mbali nia ikiwa ni kujenga uelewa wa pamoja na wadau wa maji na kuboresha 
kwa wateja na ushirikishwaji kwa wadau hutolewa kupita vyombo vya habari,matangazo na 
huduma ya maji.

"Kutokana na jitihada za kupambana na usafi wa mazingira Bunda,kwasasaMamlaka ya maji 
Bunda ina ujenzi wa mradi wa miundo ya majitaka katika eneo la Butakale kwa ajili ya usafi wa 
mazingira, mradi huu unatarajia kukamilika kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025.Mradi huu una 
ununuzi wa magari mawili ya majitaka yenye uwezowa kubeba lita 10,000 na 5,000"

Aidha Mamlaka ina jumla ya wateja 9,318 kwa sasa ambapo kwa mwaka 2021 Mamlaka ilikuwa 
na jumla ya wateja 5,149 ambao ni watumiaji wa majumbani(Domestic),Biashara
(Commercial), Taasisi(Institution), na Viula(viosk).

Sanjari na hayo Kwa sasa Mamlaka ya majisafi na usafi 
wa maji, baada ya miradi miwili kukamilika  inaendelea na mradi 
wa mazingira Bunda inatoa huduma ya majisafi kwa wastani wa masaa 22 bila yakuwa na mgawo na
kufikisha wastani wa utoaji wa huduma kwa wastani wa asilimia 96 na kufikia lengo la ILANI ya chama cha mapinduzi (CCM).

Vituo 94 vimepewa mikopo na NHIF kwa ajili ya kuboresha huduma wanazotoa kwa wananchi.

Vituo 94 vimepewa mikopo na NHIF kwa ajili ya kuboresha huduma wanazotoa kwa wananchi.

KIWANGO Cha Makusanyo ya Maduhuli ya Serikali Kimepanda Kutoka Shilingi Bilioni 624.61 hadi Bilioni 753.82

KIWANGO Cha Makusanyo ya Maduhuli ya Serikali Kimepanda Kutoka Shilingi Bilioni 624.61 hadi Bilioni 753.82

JUMLA YA MIRADI 2,020 IMEFANIKIWA KUSAJILIWA NA TIC.

JUMLA YA MIRADI 2,020 IMEFANIKIWA KUSAJILIWA NA TIC.

BoT: Tunatambua nafasi ya vyombo vya habari katika kujenga uchumi wa nchi

BoT: Tunatambua nafasi ya vyombo vya habari katika kujenga uchumi wa nchi