Changamoto ya uhaba wa ajira ni kubwa, vijana wengi wasomi wako mtaani wakiwa hawana ajira rasmi.
Hali hii inasababisha nchi kuwa na idadi kubwa ya vijana tegemezi wasioweza kulipa kodi kwa maendeleo yao na ya taifa kwa ujumla.
Kwa kuliona hilo Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imekuja na mpango Mkakati unaolenga kuongeza wigo wa ajira hadi kufikia ajira mpya milioni 1.2 kila mwaka.
Tayari mpango huo umeshaanza kazi, ambapo katika kipindi cha Januari hadi Julai, 2024, tayari zimezalishwa ajira mpya 607,475 nchini.
Hatua hiyo imesaidia kupunguza changamoto ya uhaba wa ajira kwa wastani wa asilimia 50.6 ya lengo la uzalishaji wa ajira mpya kwa Mwaka.
Aidha Serikali imeendelea kuweka Mazingira rafiki na wezeshi kwa wawekezaji wa nje na ndani ili kuboresha shughuli za uzalishaji katika sekta za Kilimo, Ufugaji, Uvuvi, Uchimbaji Madini, Viwanda na Biashara ili kuongeza wimbi la wawekezaji katika sekta muhimu za kimkakati.
#KAZIINAONGEA
WATU WENYE ULEMAVU WAMEPATA UFADHILI KWA AJILI YA KUWAWEZESHA KATIKA MASWALA YA UONGOZI NA KUKUZA DEMOKRASIA.
RAIS SAMIA APELEKA KICHEKO KWA WANANCHI WA SONGWE
UZINDUZI WA TEKNOLOJIA MPYA YA UREKEBISHAJI NA UTUNZAJI WA MAGARI KULETA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA HUDUMA ZA MAGARI.
SERIKALI YATAKA MAFANIKIO SEKTA YA MAJI YALINDWE
THE WHEEL YALETA MAPINDUZI KATIKA SEKTA YA HUDUMA ZA MAGARI NCHINI.
CCM YASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA.
THE WHEEL YALETA MAPINDUZI KATIKA SEKTA YA HUDUMA ZA MAGARI NCHINI.
SERIKALI YATAKA MAFANIKIO SEKTA YA MAJI YALINDWE
ARUSHA NA KILIMANJARO KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA DESEMBA
WATU WENYE ULEMAVU WAMEPATA UFADHILI KWA AJILI YA KUWAWEZESHA KATIKA MASWALA YA UONGOZI NA KUKUZA DEMOKRASIA.