Asap na Rihanna Waamua Kuweka kipaumbele zaidi kwa watoto | The Dodoma Post
The Dodoma Post Burudani

Asap na Rihanna Waamua Kuweka kipaumbele zaidi kwa watoto

Huku A$AP Rocky akijiandaa kujibu mashtaka ya kumpiga risasi rafiki yake wa zamani, chanzo cha karibu cha rapa huyo na Rihanna kilieleza kuwa wazazi hao "wanaojaliana" wanatanguliza familia.

gilbert ludovick
By gilbert ludovick
23 Nov 2023
Asap na Rihanna Waamua Kuweka kipaumbele zaidi kwa watoto

Chanzo hicho kilisema, "Rihanna na A$AP ni timu na wataendelea kusaidiana kila wakati." Chanzo hicho kilisema watoto wao wawili wanabakia kuwa kipaumbele chao cha kwanza, na kuongeza kuwa A$AP na Rihanna wako waangalifu kutoruhusu kinachoendelea katika maisha yao nje ya nyumba kuathiri amani ya watoto wao.

DIAMOND ASIFIA UWEKEZAJI WA VIDEO YA "OLOLUFEMI"

DIAMOND ASIFIA UWEKEZAJI WA VIDEO YA "OLOLUFEMI"

MARCO WA ZABRON SINGERS AFARIKI DUNIA KWA UGONJWA WA MOYO

MARCO WA ZABRON SINGERS AFARIKI DUNIA KWA UGONJWA WA MOYO

ROSA REE AIWAKILISHA TANZANIA TUZO ZA GRAMMY

ROSA REE AIWAKILISHA TANZANIA TUZO ZA GRAMMY

Mali za Tekashi kupigwa mnada kulipa fiadia mahakamani

Mali za Tekashi kupigwa mnada kulipa fiadia mahakamani

Baada ya kulipwa mil.81 Eric Omondi afichua sura ya mwanae

Baada ya kulipwa mil.81 Eric Omondi afichua sura ya mwanae