BUSUNGU WA ADA-TADEA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS | The Dodoma Post
The Dodoma Post Siasa

BUSUNGU WA ADA-TADEA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS

Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu.

Mwandishi Wetu
By Mwandishi Wetu
11 Aug 2025
BUSUNGU WA ADA-TADEA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS

Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu. 

Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe.  Ali Makame Issa (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe.  Ali Makame Issa (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Mgombea wa Kiti cha Rais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu na Mgombea Mwenza, Mhe.  Ali Makame Issa (kushoto) wakionesha mkoba baada ya kukabidhiwa na Tume katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakiwa katika ukumbi wa utoaji fomu. Kulia ni Mhe. Dkr. Zakia Mohamed Abubakar akiwa na Mhe. Magadalena Rwebangira 

Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakiwa katika ukumbi wa utoaji fomu. Kusho ni Mhe. Jaji Asina Omar akiwa na Mhe. Balozi Ramadhani Omar Mapuri.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitoa maelezo.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima akimpa maelekezo mgombea.

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu akisaini. 

Mgombea Mwenza, Mhe.  Ali Makame Issa (kushoto)  akisaini kitabu.

Wanachama wa chama hicho wakifatilkia utoaji fomu.

Mgomgea akiagana na Mkurugenzi wa Tume.

Mgombea akizungumza na vyombo vya Habari 

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAUDHUKUMU YAO HASA KATIKA KIPINDI HIKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAUDHUKUMU YAO HASA KATIKA KIPINDI HIKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025

MGOMBEA UDP ACHUKUA FOMU INEC ZA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS

MGOMBEA UDP ACHUKUA FOMU INEC ZA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS

MGOMBEA NCCR MAGEUZI AJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UTEUZI

MGOMBEA NCCR MAGEUZI AJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UTEUZI

MPINA WA ACT WAZALENDO ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

MPINA WA ACT WAZALENDO ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

MLUYA WA CHAMA CHA DP ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS