KADEGE WA CHAMA CHA UPDP ACHUKUA FOMU ZA URAIS | The Dodoma Post
The Dodoma Post Siasa

KADEGE WA CHAMA CHA UPDP ACHUKUA FOMU ZA URAIS

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People’s Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege.

Mwandishi Wetu
By Mwandishi Wetu
10 Aug 2025
KADEGE WA CHAMA CHA UPDP ACHUKUA FOMU ZA URAIS

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People’s Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege.

Mgombea huyo wa UPDP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe.  Abdalla Mohd Khamisi (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People’s Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege. Mgombea huyo wa UPDP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe.  Abdalla Mohd Khamisi (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People’s Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege (kulia) na Mgombea  Mwenza, Mhe.  Abdalla Mohd Khamisi wakionesha mkoba ulio na fomu

Mgombea  wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia UPDP, Mhe.  Abdalla Mohd Khamisi akisaini kitabu

KIBONDE WA CHAMA CHA MAKINI ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS INEC

KIBONDE WA CHAMA CHA MAKINI ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS INEC

INEC YAMKABIDHI FOMU ZA UTEUZI MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA NLD DOYO HASSAN DOYO

INEC YAMKABIDHI FOMU ZA UTEUZI MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA NLD DOYO HASSAN DOYO

NCHIMBI AKIPOKEA BARAKA ZA MAMA YAKE MZAZI

NCHIMBI AKIPOKEA BARAKA ZA MAMA YAKE MZAZI

MGOMBEA KITI CHA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA NRA ACHUKUA FOMU TUME

MGOMBEA KITI CHA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA NRA ACHUKUA FOMU TUME

TUME YAKABIDHI FOMU ZA UTEUZI KWA MGOMBEA WA KITI CHA RAIS WA CHAMA CHA MAPINDUZI

TUME YAKABIDHI FOMU ZA UTEUZI KWA MGOMBEA WA KITI CHA RAIS WA CHAMA CHA MAPINDUZI