

Taasisi ya Evelasting Legal Aid Foundation(ELAF) imetoa wito kwa serikali kutokushughulikia tatizo la watu kupotea kama uhalifu wa kawaida bali kiundwe kitengo maalumu cha usalama kwa ajili ya kushughulikia changamoto hiyo inayozidi kushika kasi nchini.
Taasisi ya Evelasting Legal Aid Foundation(ELAF) imetoa wito kwa serikali kutokushughulikia tatizo la watu kupotea kama uhalifu wa kawaida bali kiundwe kitengo maalumu cha usalama kwa ajili ya kushughulikia changamoto hiyo inayozidi kushika kasi nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari l3,August 2025 Mkurugenzi wa Taasis hiyo Khamis Masood amesema taarifa kuhusu upotevu wa watu zinafika polisi lakini ukimya wa chombo hicho ni mwingi na huwa hawana majibu yeyote kuhusu tatizo hilo.
“Serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani ianzishe kitengo rasmi cha Missing Persons Investigation yenye ujuzi wa kesi za namna hii ili kushirikiana na polisi,jamii na asas za kiraia ili vyombo vya sheria vipate majibu na suluhu za haraka juu ya upotevu wa wananchi”Amesema Khamis.
Aidha amesema kuwa kupotea kwa mtu si swala la la kifamilia tu bali ni swala la kimaadili,kisheria na kiutawala ili kulinda utuhaki na dhamana ya uhai wa kila Mtanzania
DKT.SAMIA,DKT.NCHIMBI KUCHUKUA FOMU YA URAIS KESHO AGOSTI 9,2025.
TUME YATANGAZA RATIBA YA VYAMA KUCHUKUA FOMU ZA WAGOMBEA WA URAIS
TANESCO YAANZA ZOEZI LA UKAGUZI WA MITA KUBAINI UPOTEVU NA WIZI WA UMEME UNAOFANYWA NA BAADHI YA WATEJA.
CUF KUPITISHA WAGOMBEA URAIS AGOSTI 9 MAJINA YATAJWA.
PBPA YAELEZEA MAFANIKIO YAKE YA MIAKA MINNE KATIKA UONGOZI WA RAIS DK.SAMIA.
TADB Yawawezesha Wakulima Wadogo Mikopo Yenye Dhamana Nafuu.
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE KITAIFA 2025.
VIONGOZI WA DINI WAASWA KUSHUGHULIKIA MIGOGORO YAO YA NDANI PASIPO KUZUA TAHARUKI ILI KULINDA AMANI YA NCHI.
Coop Bank Imejipanga Kutoa Huduma Maalum kwa Washiriki wa Maonesho ya NaneNane.
SENYAMULE AIPONGEZA DIB UTOAJI WA ELIMU KWENYE MAONESHO NANENANE.