KAILIMA ASEMA TUME ITAFANYA KAZI KWA KARIBU NA WAANDISHI WA HABARI KIPINDI CHOTE CHA UCHAGUZI MKUU 2025. | The Dodoma Post
The Dodoma Post Siasa

KAILIMA ASEMA TUME ITAFANYA KAZI KWA KARIBU NA WAANDISHI WA HABARI KIPINDI CHOTE CHA UCHAGUZI MKUU 2025.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akizungumza katika Mkutano wa Tume, Wahariri na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 ambapo amewahakikishia washiriki hao kuwa, ofisi yake itafanya kazi nao kwa karibu katika kipindi cha uchaguzi mkuu kwa njia mbalimbali

Mwandishi Wetu
By Mwandishi Wetu
04 Aug 2025
KAILIMA ASEMA TUME ITAFANYA KAZI KWA KARIBU NA WAANDISHI WA HABARI KIPINDI CHOTE CHA UCHAGUZI MKUU 2025.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akizungumza katika Mkutano wa Tume, Wahariri na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 ambapo amewahakikishia washiriki hao kuwa, ofisi yake itafanya kazi nao kwa karibu katika kipindi cha uchaguzi mkuu kwa njia mbalimbali ikiwemo kushiriki katika vipindi vya redio na runinga na kutoa taarifa kwa wakati. Picha na INEC.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima (Kulia), akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura, Giveness Aswile, kabla hajafungua Mafunzo ya Wahariri na Waandishi wa Habari, yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Agosti 4, 2025.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura, Giveness Aswile akizungumza katika Mkutano wa Tume, Wahariri na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2025.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima (Katikati waliokaa), Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura, Giveness Aswile (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Daftari na TEHAMA, Stanslaus Mwita (kushoto), Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Selemani Mtibora (wa pili kulia), na Mwenyekiti wa Mafunzo ya Wahariri na Waandishi wa Habari, Lilian Timbuka (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wahariri na waandishi wa habari baada ya kufunguliwa kwa mafunzo hayo katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Agosti 4, 2025

ACT WAJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI UCHAGUZI MKUU 2025.

ACT WAJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI UCHAGUZI MKUU 2025.

Chama cha National League for Democracy (NLD) Klmezinduwa  Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya  kwa Mwaka 2025

Chama cha National League for Democracy (NLD) Klmezinduwa Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya kwa Mwaka 2025

KIBAHA YAANZA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025

KIBAHA YAANZA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025

INEC YAWATAKA WAZALISHAJI MAUDHUI MTANDAO KUZINGATIA WELEDI NA TAALUMA ILI KULINDA AMANI YA NCHI.

INEC YAWATAKA WAZALISHAJI MAUDHUI MTANDAO KUZINGATIA WELEDI NA TAALUMA ILI KULINDA AMANI YA NCHI.

WAANDISHI WA HABARI WAHIMIZWA KUHAMASISHA USHIRIKI WA WANANCHI KUPIGA KURA

WAANDISHI WA HABARI WAHIMIZWA KUHAMASISHA USHIRIKI WA WANANCHI KUPIGA KURA