JURGEN KLOOP KUONDOKA LIVERPOOL MWISHO WA MSIMU. | The Dodoma Post
The Dodoma Post Michezo

JURGEN KLOOP KUONDOKA LIVERPOOL MWISHO WA MSIMU.

Kocha mkuu wa klabu ya Liverpool J├╝rgen Kloop ametangaza kuachana na klabu hiyo mwisho wa msimu huu wa 2023/2024.

Mwandishi Wetu
By Mwandishi Wetu
27 Jan 2024
JURGEN KLOOP KUONDOKA LIVERPOOL MWISHO WA MSIMU.

Kloop amedumu Liverpool kwa muda mrefu huku akiwezesha klabu hiyo kushinda mataji mengi ikiwemo ligi kuu ya England pamoja na ligi ya mabingwa barani Ulaya (Uefa champions League).

Kocha wa Manchester City amesema bado mwaka mmoja kwenye mkataba wake na anafikiria kuongeza mkataba pia ili kuendelea kusalia klabuni hapo.

Pep Guardiola pia amefurahia kuhusu taarifa za Jurgen Klopp kuondoka mwishoni wa msimu huu na amesisitiza kuwa miongoni mwa wapinzani bora kuwahi kukutana nao kwenye maisha yake ya soka amemtaja Jurgen Klopp.

Pep Guardiola pia amesema usiku mmoja kabla ya kukutana na Jurgen Klopp ulikuwa usiku mrefu sana huku akisema taarifa ya kuondoka kwa Klopp sasa zitamfanya alale bila mawazo tena.
 
NDOTO YA LEBRON JAMES YA KUCHEZA NA MWANAE TIMU MOJA YATIMIA BADO YA RONALDO NA MWANAE

NDOTO YA LEBRON JAMES YA KUCHEZA NA MWANAE TIMU MOJA YATIMIA BADO YA RONALDO NA MWANAE

TIMU ya mahakama mpira wa miguu yaibuka na ushindi dhidi ya timu ya Bunge.

TIMU ya mahakama mpira wa miguu yaibuka na ushindi dhidi ya timu ya Bunge.

Mavunde awavuta nyota wa Yanga, Ujirani mwema ndondo Cup Dodoma

Mavunde awavuta nyota wa Yanga, Ujirani mwema ndondo Cup Dodoma

YANGA na Azam Fc zapishana Robo Finali ASFC

YANGA na Azam Fc zapishana Robo Finali ASFC

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI BONANZA LA PASAKA JIJINI DODOMA

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI BONANZA LA PASAKA JIJINI DODOMA