Kisa Sakho Fifa yaifungia Simba kusajili | The Dodoma Post
The Dodoma Post Michezo

Kisa Sakho Fifa yaifungia Simba kusajili

Shirikisho la Soka la kimataifa (FIFA) limeifungia kusajili Simba SC hadi ilipe madai ya klabu ya Teungueth ya Senagal kuhusu dili la mchezaji Pape Sakho.

Mwandishi Wetu
By Mwandishi Wetu
23 Nov 2023
Kisa Sakho Fifa yaifungia Simba kusajili

Taarifa ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) imeeleza uamuzi huo uliofanywa na FIFA umetokana na Teungueth kushinda kesi ya madai dhidi ya Simba kutokana na mauzo ya Sakho.

"Klabu hiyo ilifungua kesi FIFA dhidi ya Simba ikidai sehemu ya malipo kutokana na mauzo ya Sakho. Simba ilitakiwa iwe imetekeleza uamuzi huo ndani ya siku 45 tangu ulipotolewa, lakini haikufanya hivyo,"

TFF imeeleza wakati FIFA ikiifungia Simba kufanya uhamisho wa wachezaji wa kimataifa, wao wameifungia kufanya uhamisho wa ndani.

YANGA na Azam Fc zapishana Robo Finali ASFC

YANGA na Azam Fc zapishana Robo Finali ASFC

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI BONANZA LA PASAKA JIJINI DODOMA

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI BONANZA LA PASAKA JIJINI DODOMA

JURGEN KLOOP KUONDOKA LIVERPOOL MWISHO WA MSIMU.

JURGEN KLOOP KUONDOKA LIVERPOOL MWISHO WA MSIMU.

ONANA AKIRI KIWANGO CHAKE KUSHUKA ALIPOTUA MAN UNITED

ONANA AKIRI KIWANGO CHAKE KUSHUKA ALIPOTUA MAN UNITED