

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe.
Akizungumza na waandishi wa Habari leo Alhamisi Aprili 3,2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amethibitisha jeshi hilo kumshikilia Kamwe.
Abwao ametaja sababu za kumshikilia ofisa habari huyo kuwa ni kutokana na kauli zake chafu dhidi ya viongozi wa Serikali.
ISRAEL yaishambulia Syria, kadhaa wahofiwa kupoteza maisha
JWTZ lajivunia Ushirikiano na Jeshi la Ujerumani
KIDATO CHA NNE 2024 WAITWA KUBADILI MACHAGUO YA TAHASUSI
WAKAZI WA NNE SAME WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUSAFIRISHA MIRUNGI.
GST IMEKAMILISHA UTOAJI WA MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI 2,733