

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump alipinga mpango wa Israel wa kumshambulia Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mujibu wa maafisa wawili wa Marekani waliolieleza shirika la habari la Reuters
srael ilidaiwa kupata taarifa za alipo Khamenei na ilipanga kumlenga kwa makombora, lakini Trump alikataa kuidhinisha hilo.
Alisema ana rekodi ya kumaliza migogoro na alijivunia juhudi zake za kuleta utulivu kati ya India na Pakistan, akidai anaweza kufanya hivyo pia kati ya Iran na Israel.
BODI YA MKONGE TANZANIA YATANGAZA FURSA KWA WATANZANIA.
SHERIA ZILIZOTAFSIRIWA KWA LUGHA YA KISWAHILI KUTOKA MWEZI AGOSTI.
DCEA:SERIKALI IMEPUNGUZA KASI YA WALAIBU WA DAWA ZA KULEVYA.
ULINZI NA USALAMA BAHARINI UMEIMARIKA;TASAC
VITONGOJI VYOTE 64,359 VITAKUWA NA UMEME IFIKAPO 2030
Maiko Salali achukua fomu ya ubunge Jimbo la Mpwapwa
SERIKALI IMEPUNGUZA TOZO KATIKA ZAO LA KAHAWA KUTOKA 17 HADI 5.
Mkoa wa Katavi umeendelea kutekeleza Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi (MMAM)
UDOM KUJA NA TEKNOLOJIA MPYA YA KUUZA VIMIMINIKA.
AMANZI NA BABU TALE USO KWA USO JIMBONI