Vyombo mbalimbali vya habari nchini Kenya pamoja na shirika la kimataifa linalotetea haki za binadamu Amestry International limeripoti kutekwa kwa mwanaharakati wa mtandaoni na mtetezi wa haki za binadamu Maria Sarungi.
Inaelezwa kuwa mwanaharakati huyo kutoka Tanzania ametekwa Leo na watu wasiojulikana Akiwa katika eneo la Kilimani jijini Nairobi nchini Kenya.
Taarifa za shirika hilo pia zimesema kuwa mwanaharakati huyo alichukuliwa leo majira ya saa tisa alasiri kwa nguvu na watu watatu wanaume waliokuwa na silaha nzito wakiwa na gari jeusi aina ya Noah na kutokomeana naye kusikojulikana.
Shirika hilo pia limeomba watu mbalimbali kupaza Sauti Kwa namna mbalimbali ili kuwezesha upatikanaji wa Mwanaharakati huyo na mtetezi wa haki za binadamu.
"TUMEAMUA KUSIMAMA NA LISU MBOWE AKAPUMZIKE"VIONGOZI CHADEMA WANENA
KOREA KASKAZINI YAWANASA ‘SNIPER’ UKRAINE, YADAI RUSSIA INAWAUA MAJERUHI
MAREKANI HALI TETE, MOTO WAUA 16 LOS ANGELES, UPEPO WATARAJIWA KUONGEZEKA
Ajali ya gari yajeruhi mamia ya watu Ufaransa
BENKI KUU YAWAGEUKIA WATENGENEZAJI, WAUZAJI ‘PUTTY’
"TUMEAMUA KUSIMAMA NA LISU MBOWE AKAPUMZIKE"VIONGOZI CHADEMA WANENA