MONALISA APINGA VIKALI KUVULIWA UANACHAMA ACT. | The Dodoma Post
The Dodoma Post Siasa

MONALISA APINGA VIKALI KUVULIWA UANACHAMA ACT.

Kada wa ACT wazalendo Monalisa Ndala amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa zilizotolewa na uongozi wa Chama hicho kwa madai ya kushindwa kutekeleza katiba ya Chama hicho.

Mwandishi Wetu
By Mwandishi Wetu
31 Aug 2025
MONALISA APINGA VIKALI KUVULIWA UANACHAMA ACT.

Kada wa ACT wazalendo Monalisa Ndala  amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa zilizotolewa na uongozi wa Chama hicho kwa madai ya kushindwa kutekeleza katiba ya Chama hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari leo 30,agosti 2025 Sinza,jijini Dar es salaam Monalisa amesema kuwa yeye Bado ni mwanachama wa ACT aliyesajiliwa Dar es salaam na sio Mafifi mkoani Iringa .

"Nimempa Katibu Mkuu siku mbili anapaswa atoke hadharani aikanushe ile barua kwa sababu Mimi ni  mwanachama,mwenezi wa mkoa wa Dar es salaam pia ni Mwenyekiti wa Jimbo la kibamba nawezaje kuwa mwananchi wa kata ya Mafifi".

"Aibu hii haitasaidia Chama zaidi ya kuishangaza jamii kwa hiyo Katibu Mkuu inabidi anusuru na anapaswa aseme barua sio rasmi na baada ya juma hili nitafuata hatua sahihi  na tusilaumiane".ameeleza Monalisa.

Aidha amekitaka Chama kujitafakari na wanachama waone uzembe uliofanywa pia viongozi wanajua kinachofanyika ni hatua za kuimarishana kwani ACT ni Chama na sio genge.

DKT NCHIMBI AITEKA RORYA | WANANCHI WATHIBITISHA KUTIKI OKTOBA  29 KWA KISHINDO.

DKT NCHIMBI AITEKA RORYA | WANANCHI WATHIBITISHA KUTIKI OKTOBA 29 KWA KISHINDO.

MZEE JOSEPH BUTIKU ALIVYOIBUKIA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI WA DK.EMMANUEL NCHIMBI RORYA

MZEE JOSEPH BUTIKU ALIVYOIBUKIA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI WA DK.EMMANUEL NCHIMBI RORYA

BALOZI DKT.NCHIMBI AWANADI AWANADI WAGOMBEA UBUNGE TARIME.

BALOZI DKT.NCHIMBI AWANADI AWANADI WAGOMBEA UBUNGE TARIME.

KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI  MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA

KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE CCM AWAALIKA WANANCHI KUSHIRIKI UZINDUZI WA KAPMPENI AGOSTI 28.

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE CCM AWAALIKA WANANCHI KUSHIRIKI UZINDUZI WA KAPMPENI AGOSTI 28.