WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAPONGEZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MAONESHO YA NANENANE | The Dodoma Post
The Dodoma Post Utalii

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAPONGEZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MAONESHO YA NANENANE

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa amefungua Maonesho ya 30 ya Wakulima, Wavuvi na Wafugaji, “Nanenane” amanyo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma na kupongeza Wizara mbalimbali ikiwemo Wizara ya Maliasili na utalii kwa ushiriki kwenye maonesho hayo.

Mwandishi Wetu
By Mwandishi Wetu
01 Aug 2024
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAPONGEZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MAONESHO YA NANENANE

Na Mwandishi wetu, Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Kassim Majaliwa Majaliwa amefungua Maonesho ya 30 ya Wakulima, Wavuvi na Wafugaji, “Nanenane” amanyo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma na kupongeza Wizara mbalimbali ikiwemo Wizara ya Maliasili na utalii kwa ushiriki kwenye maonesho hayo.

Waziri Mkuu Majaliwa, amesema maonesho hayo yanaumuhimu mkubwa kwa maendeleo ya uchumi wa Taifa na mwananchi mmoja mmoja hivyo ametoa wito kwa wananchi kutembelea maonesho hayo hayo ili kujifunza na kupitia fusra mbalimbali zitakazo wainua kiuchumi.

Aidha, katika maonesho hayo, Banda la Wizara ya Maliasili limesheheni washiriki mbalimbali zikiwemo taasisi zake pamoja na wadau wake, kwa lengo la kuhakikisha wananchi wanaotembelea banda hilo wanapata hudama stahiki kuhusu Uhifadhi na Utalii.

Pamoja na mambo mengine katika Banda la Maliasili na Utalii, wananchi watapata fursa ya kujua shughuli za uhifadhi, vivitio vya utalii vilivyopo nchini, kushuhudia vivutio vya utalii mbashara kutoka hifadhi ya Ngorongoro shughuli za upandaji miti, uanzishaji wa mashamba ya ufugaji wa Wanyamapori, kuona wanyamapori hai, makumbusho inayotembea, na shughuli mbalimbali za Wizara ya maliasili na utalii2 pamoja na taasisi zake.

Kauli mbiu ya Maonesho ya nanenane mwaka huu ni “Chagua viongozi bora wa Serikali za mitaa kwa maendeleo endelevu ya Kilimo, mifugo na Utalii.

WAZIRI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA

WAZIRI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA

SERIKALI- HAKUNA MWANANCHI ANAYEONDOLEWA NGORONGORO KWA AJILI YA UTALII BALI UHIFADHI

SERIKALI- HAKUNA MWANANCHI ANAYEONDOLEWA NGORONGORO KWA AJILI YA UTALII BALI UHIFADHI

WAZIRI KAIRUKI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA PILI WA SHIRIKA LA UTALII DUNIANI KUHUSU UTANGAZAJI UTALII- KANDA YA AFRIKA NCHINI ZAMBIA

WAZIRI KAIRUKI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA PILI WA SHIRIKA LA UTALII DUNIANI KUHUSU UTANGAZAJI UTALII- KANDA YA AFRIKA NCHINI ZAMBIA

TANZANIA YAUNGA MKONO AGENDA ZA SHIRIKA LA UTALII DUNIANI ZA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI NA USALAMA WA MAENEO YA UTALII.

TANZANIA YAUNGA MKONO AGENDA ZA SHIRIKA LA UTALII DUNIANI ZA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI NA USALAMA WA MAENEO YA UTALII.

UNDERSTANDING THE REASONS BEHIND THE VOLUNTARY RESETTLEMENT OF NGORONGORO RESIDENTS WITHIN THE RESERVE.

UNDERSTANDING THE REASONS BEHIND THE VOLUNTARY RESETTLEMENT OF NGORONGORO RESIDENTS WITHIN THE RESERVE.