SERIKALI yaanza Kufanya tathmini ya athari za mafuriko na mahitaji Rufiji | The Dodoma Post
The Dodoma Post Kijamii

SERIKALI yaanza Kufanya tathmini ya athari za mafuriko na mahitaji Rufiji

Pwani. Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu kwa kushirikiana na Uongozi wa Mkoa wa Pwani pamoja na wadau kutoka Mashirika mbalimbali wamefanya tathmini ya athari na uharibifu kwa waathirika wa mafuriko katika kata mbalimbali Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani ili kupata taarifa kamili zitakazoisaidia Serikali katika kuchukua hatua za muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu kwa waathirika wa mafuriko yalitokea Wilayani humo.

Mwandishi Wetu
By Mwandishi Wetu
17 Apr 2024
SERIKALI yaanza Kufanya tathmini ya  athari za mafuriko na mahitaji Rufiji

Timu hiyo imetembelea leo (Aprili 17, 2024) katika kata ya Mkongo pamoja na Kata ya Ngorongo Wilayani Rufiji mkoani Pwani.

PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Watu 36 Wafariki Dunia, Majeruhi 23 Wakimbizwa Hospitali

Watu 36 Wafariki Dunia, Majeruhi 23 Wakimbizwa Hospitali

Dkt.Tulia Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi wa Shule ya Wavulana Bunge.

Dkt.Tulia Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi wa Shule ya Wavulana Bunge.

Mavunde Akabidhi Jengo la kupumzikia Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Dodoma

Mavunde Akabidhi Jengo la kupumzikia Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Dodoma

Serikali kufanya mageuzi ya kimtazamo katika nafasi za uongozi kwa wanawake

Serikali kufanya mageuzi ya kimtazamo katika nafasi za uongozi kwa wanawake