Mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya hiyo Alhaj Jabir Shekimweri wameipongeza bodi ya bima ya amana (DIB)kwa kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu shughuli zinazofanywa na bodi hiyo.

Pongezi hizo wamezitoa mara baada ya kutembelea banda la Bodi ya Bima ya Amana katika Maonesho ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (Nanenane) yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma.
Pichani, akikabidhiwa zawadi na machapisho pamoja na vipeperushi mbalimbali vinavyoelezea shughuli za bodi hiyo na maofisa wa DIB.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akifurahia zawadi yake aliyekabidhiwa katika banda la DIB mara baada ya kutembelea banda la taasisi hiyo katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Alhaj Jabir Shekimweri akipokea zawadi kutoka kwa maofisa wa DIB wakati alipotembelea banda hilo pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule.
WAZIRI MKUU AWATAKA TRAMPA KUZINGATIA MAADILI YA KAZI KATIKA UTUNZAJI WA NYARAKA.
KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE CCM AWAALIKA WANANCHI KUSHIRIKI UZINDUZI WA KAPMPENI AGOSTI 28.
MRADI WA TACTIC KUBADILISHA MANDHARI YA JIJI LA DODOMA
AHADI YA SERIKALI KUFIKISHA UMEME WA GRIDI KAGERA YATEKELEZWA
AHADI YA SERIKALI KUFIKISHA UMEME WA GRIDI KAGERA YATEKELEZWA
SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MGODI NYANDOLWA.
MRADI WA TACTIC KUBADILISHA MANDHARI YA JIJI LA DODOMA
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE CCM AWAALIKA WANANCHI KUSHIRIKI UZINDUZI WA KAPMPENI AGOSTI 28.
WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA AFYA ZAO KWA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.