![Mwandishi Wetu](https://thedodomapost.co.tz/public/media/prof/logo.png)
![DIAMOND ASIFIA UWEKEZAJI WA VIDEO YA "OLOLUFEMI"](https://thedodomapost.co.tz/public/media/news/1731330480.jpg)
"Moja kati ya video kubwa nimewahi kufanya mwaka huu, bwana Jux uwekezaji ameufanya"
Alisikika msanii Diamond Platnumz akielezea namna video ya wimbo wa Ololufe Mi aliyoshirikishwa na Jux ilivyoghalimu pesa nyingi, Diamond aliyasema hayo wakati wapo location wakiendelea na production ya video hiyo
Pia Diamond ametumia video hiyo kuwapongeza waigizaji wa movie kutokana na ugumu wanaopitia kwenye uzalishaji wa film zao hiyo ni baada ya kupata uzoefu wa baadhi ya acting zilizopatikana kwenye video hiyo
"Kiukweli niwapongeze wacheza filamu kazi yao ni ngumu sana"
WANANCHI WAASWA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA.
SHAKA AMPONGEZA RAIS DK.SAMIA KWA UONGOZI IMARA.
WANANCHI TANGA, PWANI WAITIKIA VYEMA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
WATANGAZAJI WAASWA KUACHA KUKIFUBAZA KISWAHILI.
TUME YATOA NENO KWA WAENDESHA VIFAA VYA BVR TANGA, PWANI