MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya kusaidia watu wenye ulemavu ya mkoani Dodoma ya Foundation For Disabilities Hope (FDH), Maiko Salali amelipongeza Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira UNEP kwa jitiada zake za kupaisha agenda ya ulinzi wa mazingira kwa watu wenye Ulbino nchini.
Salali, amesema kupitia ushirikano wa shirika hilo la UNEP na FDH wameweza kusukuma Mpango kazi wa kitaifa wa haki na ustawi watu wenye ulbino ambapo serikali ilisikiliza na kufanyia kazi maombi hayo na hatimaye mpango huo umezinduliwa Desemba 03, 2024 katika siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu duniani.
“Kwa hapa Tanzania tuliazimisha katika ukumbi wa Dimond Jubilee Dar es salaam,ambapo FDH tunaishukuru sana UNEP kwa jitiada hizi ambazo zimewezesha watu wenye ulbino nchini kupata mpango, "
Na kuongeza kusema kuwa "Nimatumaini yetu kuwa tunaendelea kushirikiana ili kuendelea kuhakikisha agenda ya mazingira na ulinzi wa mazingira kwa watu wenye ulemavu unakuwa kipaumbele muhimu, " Amesema Salali
PBPA YASHAURI UJENZI WA MATENKI YA MAFUTA BANDARI YA MBAMBA BAY
BoT KUJA NA MFUMO WA KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA KIFEDHA KIDIGITAL.
MPANGO KAZI KUKOMESHA MAUAJI YA WATU WENYE UALBINO WADAU WAIPONGEZA SERIKALI.
Wachimbaji wa Madini wahimizwa kulipa kodi ya Serikali.
JAFO AWATAKA WATUMISHI WA WIZARA NA FCC KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA UWEKEZAJI.
JAMII YAASWA KUTUMIA NISHATI SAFI ILI KUUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS SAMIA
MPANGO KAZI KUKOMESHA MAUAJI YA WATU WENYE UALBINO WADAU WAIPONGEZA SERIKALI.
JAFO AWATAKA WATUMISHI WA WIZARA NA FCC KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA UWEKEZAJI.
BoT KUJA NA MFUMO WA KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA KIFEDHA KIDIGITAL.
JAMII YAASWA KUTUMIA NISHATI SAFI ILI KUUNGA MKONO JITIHADA ZA MHE.RAIS