

Mamlaka ya maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imefanikiwa kutoa mafunzo kwa wadau wa kemikali wanaosafirisha,wanaohifadhi,wanaotumia, na kuteketeza kemikali bila kuathiri afya za binadamu na mazingira.
Hayo yameelezwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fedelice Mafumiko, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa ofisi hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita Machi 14, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari - MAELEZO, jijini Dodoma.
Aidha amesema Mamlaka imetoa mafunzo kwa jumla ya wadau 12,689 kuanzia mwaka wa Fedha 2021/2022 hadi Machi, 2025 ambapo madereva 6,358 walipatiwa mafunzo ya usafirishaji salama wa kemikali ndani na nje,wasimamizi (Supervisors) 5,036 wa shughuli za kemikali katika maeneo ya Bandari
Kavu, Maghala na maeneo ambayo kemikali zinatumika na kuhifadhiwa walipatiwa
mafunzo ya usimamizi na utunzaji salama wa kemikali,wadau 29 wenye changamoto ya usikivu walipatiwa mafunzo ya usimamizi na utunzaji salama wa kemikali,viongozi wa chama cha madereva wanaosafirisha kemikali 65 walipatiwa mafunzo ya usafirishaji salama wa kemikali.
Aidha Katika kipindi cha kuanzia mwaka 2021/2022 hadi Machi, 2025,Mamlaka imetoa mafunzo TAKUKURU, Waendesha Mashtaka, Hospitali, Ustawi wa Jamii, kwa lengo la kuhakikisha kuwa sampuli zinachukuliwa, zinatunzwa na kusafirishwa kwa usahihi bila kwa wadau 1201wa mnyororo wa haki Jinai kama vile Mahakama, Jeshi la Polisi, kuathiri ubora wa sampuli hizo pamoja na matokeo ya uchunguzi wake.
"Katika kipindi cha miaka minne (2021/2022 -2024/2025) ya Serikali ya Awamu ya Sita, Serikali imeiwezesha Mamlaka kununua mitambo na vifaa vya kisasa kwa ajili ya kuendelea kuboresha huduma za uchunguzi wa kisayansi wa kimaabara,mitambo na vifaa hivi ni pamoja na mitambo mikubwa Kumi na sita (16) na midogo 274 yenye thamani ya jumla ya Shilingi Bilioni 17.8"
"Ununuzi wa mitambo hii umeendelea kuimarisha uchunguzi wa kimaabara na kuendelea kutoa huduma bora za uchunguzi wa Kisayansi wa kimaabara kwa
wananchi kwa ufanisi zaidi"
Aidha Mamlaka imeendelea kufanya maboresho ya kuharakisha mchakato wa usajili wa kampuni
ya kemikali, ambapo wadau wameongezeka kutoka Wadau 2,125 Mwaka 2021 hadi
zinazojihusisha na biashara ya kemikali ambapo Katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya
awamu ya sita kumekuwa na ukuaji wa biashara kwa wadau wanaojihusisha na biashara Wadau 5,746 kufikia Desemba, 2024 sawa na ongezeko la asilimia 170 la wadau waliosajiliwa.
Sanjari na hayo Katika kipindi cha miaka minne cha Serikali ya awamu ya sita,Mamlaka ilipokea na kuhudhuria wito wa Mahakama 6,986 kutoka mahakama mbalimbali nchini kwa ajili ya
kutoa ushahidi wa kitaalamu,hivyo Utoaji wa ushahidi huo umechangia katika mnyororo wa Haki
Jinai kwa kutoa/maamzihaki kwa mhusika na kwa wakati, hivyo kuchangiakuleta, amani na utulivu wa nchi.
Aidha Mamlaka inatekeleza jukumu la usimamizi na udhibiti wa kemikali kupitia utekelezaji wa
sambamba na ukaguzi wa maeneo ya mipaka ambapo mizigo yote ikiwemo kemikali
na maeneo ambapo kemikali zinatumika na utoaji vibali vya kuingiza au kusafirisha kemikali
Mwaka 2003.
"Lengo la Sheria hii ni kulinda afya na mazingira dhidi ya madhara ya kemikali,Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Kemikali za Viwandani na Majumbani, Sheria Na. 3. aidha, utekelezaji wa Sheria hiiunafanyika kupitia usajili wa wadau, ukaguzi wa maghala zinapitia"
Sio Lazima Kila Mhitimu Aajiriwe na Serikali: Waziri Simbachawene.
Waziri Simbachawene "Sio Lazima Kila Mhitimu Aajiriwe na Serikali"
TASAC YAWAJENGEA UWEZO MAWAKALA WA MELI, FORODHA NA WAKUSANYAJI NA WATAWANYAJI WA MIZIGO MWANZA.
Awamu ya pili uboreshaji, uwekaji wazi wa dafatri la wapiga kura kuanza mei.
NYONGO: SEKTA BINAFSI INA MCHANGO MKUBWA KWA TAIFA.
PPAA yawanoa wazabuni Kanda ya Kaskazini
NIDA KUSITISHA MATUMIZI YA NAMBA ZA UTAMBULISHO (NINs) KWA WASIOCHUKUA VITAMBULISHO VYAO.
DrKumbuka Afunguka Kuhusu Kuvunjika kwa Ndoa ya Haji Manara na Zaiylissa
Shule mpya ya wavulana kugharimu zaidi ya bilioni tatu
Chama Cha Mawakili wa Serikali kufanya mkutano Aprili 14-15 jijini Dodoma